Chuo MIT HIMO kilianzishwa mwaka 2020katika mji wa Himo Kimesajiliwa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA). Lengo la chuo ni kuandaa kizazi cha vijana wa Kitanzania, bila kujali jinsia wala dini, kupata elimu zaidi, elimu ya kiufundi kwa kiwango cha kitaifa na ajira endelevu. Ndiyo maana, tunafundisha pia ujuzi wa maisha na ujasiriamali katika kozi zetu zote. Chuo kina uwezo wa wanafunzi 60, kwa sasa wanafunzi 20 wamesajiliwa (2024).
Tunatoa kozi za muda mrefu katika taaluma zifuatazo:
cs
ndi umeme na simu za mkononi
Chuo kinatoa kozi ndefu na fupi umuwezesha kijana ajikwamue kiuchumi na kupunguza tatizo la ajira..
Chuo kinapatikana Himo mjini barabara ya kuelekea Marangu opposite King size restaurant. Kipo katika mazingira tulivu na salama kwa malezi bora ya mwanafunzi. Chuo ni cha kutwa na bweni ambapo wanafunzi wa bweni wanapata huduma za chakula pia.
Ni chuo pekee kilichoanzishwa kutokana na utafiti wa muda mrefu kuhusu ongezeko la wahitimu wa kidato cha nne baada ya juhudi za serikali kuanzisha shule za sekondari za kila kata kwa lengo la kumuwezesha kila mtanzania kupata elimu walau ya sekondari.
Kutokana na utafiti huo, iligundulika kuwa vijana wengi wanahitaji elimu ya TEHAMA na ufundi ili kujipatia kipato kwa maendeleo zaidi.
MIT HIMO inaamini kuwa, kwa kumuwezesha kijana kielimu hasa elimu ya ufundi, unamjengea uwezo wa kujiamini na kujitafutia kipato na kupunguza utegemezi katika jamii.
MIT HIMO Tunasema, “MWENYE UJUZI ANA AJIRA”
Enrolled students for Hospitality course
50%
Enrolled students for English language and communication
70%
Enrolled students for Digital skill course
90%
Enrolled students for Entrepreneurship and business skills
85%
Enrolled students for ICT
98%
CONTACTS
Principal : +255 (0717157640)
Mobile: +263771 111 222
Email mithimo@gmail.com
Give us a call! (+255) 0678093637
PLOT 7A MOSHI
Moshi Institute Of Technology-MIT 19104
Phone: (+255) 0678093637
Mobile: 0756020696