FORM ZA KUJIUNGA

MAOMBI | FANI ZA MUDA MREFU (LONG COURSES 2021)

13th July 2021

Mkuu wa chuo cha MIT anapenda kuwatangazia kuwa maombi ya kujiunga na masomo ya muda mrefu (long courses) 2021,  yanapokelewa hadi sasa chuoni Kijitonyama na Dodoma.  Fani zinazotolewa:- Uchomeleaji (Welding and Fabrication)  Level I mwaka mmoja. Umeme wa magari (Auto Electric) Level I mwaka mmoja. Ufundi wa magari (Motor Vehicle Mechanics) Level Read More

  • MAELEZO NA KITABU KUHUSU CHUO

Form za maombi muda mfupi

Form za maombi muda mfupi

Kujaza form ya kuomba chuo