KUJIUNGA

Maombi ya kujiunga / Application to join

2021 | Announcements

MIT kinawaatangazia waombaji wote kuwa udahili wa wanafunzi kwa ngazi za kozi za muda mfupi,muda mrefu na certificate umefunguliwa rasmi mwezi huu na tunaendelea kupokea maombi ya wanafunzi kwa ajili ya kujiunga na chuo kwa mwaka huu
Wahitimu wote wa elimu ya Msingi ,sekondari na vyuo; wenye sifa na wanao penda kujiunga na mafunzo ya ujuzi na ubunifu kutumia TEHAMA PAMOJA NA MAFUNZO MENGINE wanaweza kujiunga .Kozi ndefu zadi ya 5 na fupi ziadi ya 12 zinazotolewa hapa chuoni .

Tunapokea maombi muda wowote na mwanafunzi anaweza kujiunga muda wowote . Vijana wanakaribishwa kufanya maombi ili kufanikiwa kujiunga na kozi bora katika chuo chetu kwa mwaka huu.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI

  •  Download fomu ya maombi hapa
    • Jaza fomu kwa makini, zingatia kuweka namba za simu sahihi, zinazopatikana muda wote ili kupata ujumbe wa uhakiki wa chuo Pamoja na kuwasiliana na afisa udahili wa chuo chetu
    • Baada ya kujaza, rudisha fomu kwa njia zifuatazo
      • Scan na tuma kwa E-mail mitcomputingtz@gmail.com.com au WhatsApp 0717157640 & 0679120619
      • Kwa walio karibu nae neo la chuo, fika na rejesha fomu kwa mkono
  • Omba kupitia ONLINE Application system iliyo ndani ya tovuti hii

MUHIMU: pesa ya formu italipwa wakati wa kujiunga :Kozi za muda mfupi form ni Tsh. 5,000/ na mudamrefu ni 10,000/:Adaa zote zinalipiwa kupitia bank kwa account no 770449-EXIM BANK AU 42910023708 NMB BANK(JINA: MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY_

JEDWALI LA KOZI NA VIGEZO

KOZIMUDAGHARAMA
Certificate Mwaka /miezi 6
Certificate Miaka (3)
Diploma Miaka (1)
Miaka (3)

Tembelea Zaidi tovuti yetu kujua ADA, MICHANGO na HUDUMA ZETU au Wasiliana nasi kupitia namba zilizo ndani ya tovuti hii au mitandao yetu ya kijami