PLOT 7A MOSHI, Moshi Institute Of Technology-MIT

(+255) 0678093637

enrolled students

0

courses and programms

0

staffs

0 M

Employement created

0
OUR PROFESSIONAL,ACADEMICS,SPECIALIZATION AND SKILLS COURSES

Digital Skills  Course for youths & students

MAFUNZO YA USUSI WA NYWELE NA UREMBO UJUMLA

Mafunzo ya Hoteli,Utalii na uwalimu wa awali

“Utalii unakua na kuongezeka kwa kasi kubwa sana zamani tulitegemea zaidi watalii kutoka nchi za Ulaya na Marekani lakini kwa sasa tunashuhudia watalii kutoka Asia,Africa na India ambapo mahitaji ya huduma katika sekta hii yanazidi kuvutia wawekezaji wakubwa na wadogo… hizi ni fursa kwa wahitimu wetu hivyo zichangamkieni kwa kujiunga na chuo”

Special  Driving course- (Mafunzo Maalum kwa  anaye penda kufundishwa peke yake kwa kufuata ratiba yake) .   Pia mwanafunzi anaweza kufuatwa nyumbani au Ofisini na Mafunzo yakatolewa hukohuko bila kulazimika kufika shuleni (TUTAKUHUDUMIA PALE ULIPO). Siku za Masomo ni Jumatatu hadi Jumamosi