KOZI ZETU

UTARATIBU WA KUJIUNGA

Chuo kinapokea maombi mara 4 kwa mwaka kwa kozi za muda mrefu Unaweza kufika Chuoni au kutumiwa form ya kujiunga na ukajaza na kuja nayo chuoni siku una repoti. Wakazi wa vijijini na Wanawake wanapewa kipaumbele zaidi katika fani zote.

Fomu za kujiunga na Chuo zinapatikana Chuoni na pia kupitia mtandaoni (whatsap na email). dpakua hapa

.