HOSTELS

KIDT na MIT Hostels ni hostel zilizopo mkoani Kilimanjaro , zilizojengwa na serikali baada ya kutambua changamoto za malazi zinazozikabili wanafunzi wetu mbalimbali wanao soma katika vyuo vetu hapa moshi mjini (ikiw ni pamoja na Shule za Sekondari, pamoja na Vyuo mbalimbali) zilizopo Moshi.

Kupitia KIDT VTC MOSHI ambayo ni tasisi ya serikali iliyo chini ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa KILIMANJARO ina mjengo na nyumba kwa ajili ya wanafunzi ..

Hivyo mnamo mwaka 2020 Hostel hizi zilianzishwa rasmi na kufanyiwa maboresho makubwa sana zikiwa na lengo la kutoa huduma bora za malazi na chakula kwa bei nafuu.

Dira yetu Huduma bora za hostel zenye kumjali mteja  

Dhima yetu Kutoa huduma bora za hostel kwa kuzingatia mahitaji ya Mteja  na Ubunifu.